5.8M
Followers
970
Following
4,545
Posts
N/A
Reels
N/A
Highlights
6/6
Photos/Videos in last 12
Bio
Tanzanian | MC with an MSc | Family Man | Rapper | A Business-MAN | MP - Muheza Constituency | Deputy Minister - Information, Culture, Arts & Sports |
Category: BANDS_MUSICIANS
3,073
Avg likes
62
Avg comments
0.05%
Engagement
2.8/wk
Posting
Recent posts
Ile challenge wanaonisaidia kuiendesha nna imani hawajaimaliza,naomba 1m iende kwa Dah Joh aisee,ni sehemu ya washindi wangu binafsi @fynbyfalsafa
baraka ni nyingi sio mchezo 😅 #BarakaNyingi
01 Nov 2026
#BarakaNyingi kwa kweli. Milioni moja,mbili,tatu.
Ukitaka kujua hiyo MILIONI 3 ni nyingi kiasi gani hebu waite hao watu ujaribu kuwaweka uwanjani. Uwanja upi utatosha kwanza?😅
ASANTENI SANA watu wa Mungu.
Mpango ni kuwa,mkifikisha 5m nawatolea goma jingine familia.
#BarakaNyingi
29 Oct 2026
Mbeya..BARAKA Zitakuwa NYINGI 07/11...🎵
#BarakaNyingi
30 Oct 2026
Kwa nini milioni 2 laki 4 lakini?..🤣😅
28 Oct 2026
TAHADHARI,leo mnakula 'kapsheni' ya kikazi zaidi,vumilieni msome yote.
Nimekuwa hapa Jakarta Indonesia kwa siku kadhaa sasa kuhudhuria mkutano wa "marafiki wa uchumi bunifu". Pamoja na kazi kubwa inayoendelea kufanyika nyumbani,ukweli ni kwamba kuna mengi ya kujifunza na kufanyia kazi. Na yote yanawezekana.
Tumekuwa na miongo kadhaa tukifanya shughuli za ubunifu nchini mwetu na ni muda sasa wa kuungana na kasi ya dunia kwenye kuurasimisha ubunifu huo na wabunifu wetu na kuhesabu kikamilifu mchango wao kwenye pato na uchumi wa Taifa letu.
Tunakwenda kuweka kwenye utekelezaji maazimio yaliyowekwa hapa Jakarta na ni imani yangu manufaa makubwa yatapatikana.
699 likes · 28 comments · 23 Oct 2026
Hii ni miongoni mwa sababu wengine tulianza kurap hata. Mziki ni kwa ajili ya kila mtu,bila mipaka bila ubaguzi. Napeeenda...
#ThisIsWhyWeRap
#BarakaNyingi #FalsafaBars #FalsafaBaba
6,789 likes · 97 comments · 22 Oct 2026
Hiyo lini hiyoooo???....
ZANZIBAR,sina la kusema.."a time was had".
#Miaka30YaBongoFlava #ShaabanRobertWaEnziHii #FalsafaBars #FalsafaBaba #BarakaNyingi
2,116 likes · 86 comments · 19 Oct 2026
Kukaa kitako na manguli kujadili maandishi ni miongoni mwa nyakati nizipendazo kwa moyo wote. Picha ya kwanza, "Shaaban Robert ya enzi hii" anakula madini toka kwa Adam Shafi Adam. Nipo mawinguni.
Siku ya jana nilipata bahati ya kufungua rasmi Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania. Ambapo pamoja na mambo mengine,nilipata bahati ya kukutana na magwiji kadhaa wa maandishi nchini.
Kalamu za waandishi hawa zina uzito mkubwa wa kubadilisha fikra na mitazamo ya jamii yetu. Maonesho haya yamekuwa na tija sana huku tukihakikisha tunajenga urithi bora wa utamaduni wa kusoma vitabu kwa watoto wetu.
5,090 likes · 104 comments · 13 Oct 2026
Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga @josephkusaga amempa challenge Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma (@mwanafa ) na challenge hiyo ameipokea. Kaa tayari kwa mambo mazuri🔥 #DoubleXL
2,365 likes · 35 comments · 07 Oct 2026
Ile uppercut ya Salmin iliyotuhitimishia "ugomvi" usiku jana ilikuwa na thamani sahihi kabisa ya Expensive Fight..maaan!
Wote tulisimama na wengine tukajikuta na vichwa tumeshika,ngumi kabisa.
Hongera nyingi kwa wapiganaji wetu wote walioshinda mapambano yao jana na asante sana kwa jukwaa hili Mafia Boxing Promotion.
Lakini kipekee shukrani kwa wadau wote mnaoendelea kuunga mkono juhudi za kukuza mchezo wa ngumi.
Mmetisha sana..🥊
6,819 likes · 95 comments · 04 Oct 2026
#BarakaNyingi Mkazuzu. Maisha marefu na heri zote zikufuate kila uendapo ALHAJ @counsellorsalaah 🎂🎉
Ujumbe wa leo,UJANA MAJI YA MOTO 🤣
9,099 likes · 222 comments · 02 Oct 2026
Nimealikika..kesho ndio kesho @ibrahimajibu23
3,907 likes · 80 comments · 02 Oct 2026
Follower tracking
We have been recording @mwanafa since 12 Oct 2026 — 90 observations.
since 12 Oct 2026, from 5,773,717
6 Nov 2026
Download @mwanafa's data
Everything below is derived from this account, priced on the counts shown. Delivered as CSV by emailed link.
You only pay for rows we deliver. Counts are the maximum available today; if an export comes back smaller, the difference is refunded automatically. Counts as last collected 19 hours, 7 minutes ago.
Tracking
What we have recorded about @mwanafa over time, and ongoing alerts.
Other reports
Not downloads of this account: they take their own inputs.
Similar accounts
Accounts we track that share hashtags, mentions or bio topics with @mwanafa.
@athlete
598.9K followers
Bio mentions “culture”
@jerash.festival
45.9K followers
Bio mentions “arts”
@espnw
1.8M followers
Bio mentions “culture”
@mymotac
34.9K followers
Bio mentions “arts”
@houseinhabit
1.2M followers
Bio mentions “culture”
@anchornorth
845 followers
Same category
@bambdcdc
2,744 followers
Bio mentions “arts”
@dawn.today
930.1K followers
Bio mentions “culture”