M

Mr Live Og

Threads
@mrliveog

1,577

Followers

967

Following

444

Posts

N/A

Reels

N/A

Highlights

4/8

Photos/Videos in last 12

Bio

A new generation..... C.E.O LIVE MEDIA •••

Links

No public links.

-

Avg likes

-

Avg comments

-

Engagement

0.0/wk

Posting

Likes and comments are still being collected for this account. Check back shortly.

Recent posts

🔴 LIVE MEDIA | HABARI ZA UHAKIKA NAIBU MEYA KIGAMBONI ELIZABETH KIMAMBO ATOA WITO WA KUPAMBANA NA VVU NA UKIMWI KIGAMBONI KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI – 1 DESEMBA Naibu Meya wa Manispaa ya Kigamboni, Elizabeth Kimambo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudhibiti UKIMWI katika Manispaa hiyo, ametoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana katika mapambano dhidi ya maambukizi ya VVU na UKIMWI kuelekea maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani, Desemba 1. Kimambo amesisitiza umuhimu wa wananchi kujitokeza kupima afya zao, kuendelea kutoa elimu kuhusu VVU na UKIMWI pamoja na kupinga unyanyapaa kwa watu wanaoishi na VVU, huku akihimiza jamii kuwapa upendo na matumaini. Amesema kila mmoja ana nafasi ya kuokoa maisha katika mapambano hayo, akieleza kuwa Kigamboni bila maambukizi mapya ya VVU inawezekana. LIVE MEDIA | HABARI ZA UHAKIKA @mrliveog 23 Nov 2026 💧 MAFANIKIO YA UJENZI WAKO YANAANZIA BACHO PLUMBING SERVICE! 🚿 DSM 📍 Dar es Salaam – Kigamboni BACHO PLUMBING SERVICE inakuletea huduma za kitaalamu za ufungaji, matengenezo na mifumo mbalimbali ya maji kwa nyumba, ofisi, biashara na majengo. 🔧 HUDUMA ZETU | OUR SERVICES: 🚿 Ufungaji na Matengenezo ya Mabomba | Plumbing Installation & Maintenance 💧 Mifumo ya Maji ya Moto na Baridi | Hot & Cold Water Systems ☀️ Ufungaji wa Solar za Kupasha Maji | Solar Water Heater Systems 🔩 Ufungaji wa Mabomba ya PPR na PVC | PPR & PVC Pipe Installation 🚰 Ufungaji wa Pampu za Maji na Matanki | Water Pumps & Tank Installation 🏠 Ufungaji wa Vifaa vya Bafu, Choo na Jikoni | Bathroom, Kitchen & Sanitary Installation 🛠️ Matengenezo ya Mifumo ya Maji Taka na Mifereji | Drainage & Plumbing Repairs 📞 WASILIANA NASI | CONTACT US: 0654204192 / 0743204190 Quality Work, Trusted Service! Huduma bora na za kuaminika. 📰 LIVE MEDIA | HABARI ZA UHAKIKA @mrliveog 23 Nov 2026 KAMATI YA SIASA CCM KIGAMBONI YAKAGUA MIRADI, MWENYEKITI CCM KIGAMBONI YAHYA SIKUNJEMA AMPONGEZA RAIS SAMIA Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Kigamboni, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Wilaya, Yahya Sikunjema, imekagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwa fedha za Serikali, Novemba 19, 2026. Sikunjema amepongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha za maendeleo ambazo zimewezesha Kigamboni kunufaika na miradi mbalimbali, huku akiwataka wasimamizi kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na viwango vinavyotakiwa. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na Shule ya Sekondari Mwera, Kiwanda cha Dege Plastic, barabara ya Kibada–Mwasonga–Kimbiji, miradi ya maji na vituo vya afya. LIVE MEDIA | HABARI ZA UHAKIKA @mrliveog @ccm_kigamboni 21 Nov 2026 RAIS SAMIA AGUSIA SAKATA LA POINTI KWA MADEREVA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kukamilisha mradi wa kamera za usalama barabarani ili kudhibiti madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani. Rais Samia amesema kamera hizo zitasaidia kuwabaini na kuwachukulia hatua wahalifu wa barabarani, huku akiwataka Polisi kutoa elimu ya kutosha kwa madereva kuhusu sheria zilizopitishwa na Bunge. Amesema baadhi ya wanaopinga utekelezaji wa sheria hizo huenda hawana elimu ya kutosha kuhusu sheria husika, hivyo elimu itolewe ili kuongeza uelewa na kuimarisha usalama barabarani. LIVE MEDIA @mrliveog @samia_suluhu_hassan 20 Nov 2026 RAIS SAMIA: WANAFUNZI WANATEMBEA NA VICHUPA VYA VILEVI MIFUKONI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema wanafunzi wamekuwa wakitembea na vichupa vya vilevi kwenye mifuko yao ya sare za shule, hali inayotia wasiwasi kuhusu mwenendo na usalama wa watoto. Amesema licha ya vilevi kuuzwa katika chupa na vingine kwenye plastiki, wanafunzi wamekuwa wakivitumia na kuvibeba, akieleza kuwa hali hiyo huonekana zaidi katika operesheni za ghafla za ukaguzi wa maeneo mbalimbali, hususan mijini. LIVE MEDIA @mrliveog 20 Nov 2026 @mrliveog 20 Nov 2026 HAKIKISHENI NCHI INAKUWA SALAMA – RAIS SAMIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuhakikisha nchi inakuwa salama, yenye amani na utulivu kuelekea mashindano ya AFCON 2027 yatakayofanyika Tanzania. Rais Samia amesema mwakani Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa AFCON pamoja na mashindano ya warembo, hivyo wananchi hawana budi kuhakikisha nchi inakuwa salama. Aidha, amewahimiza vijana kudumisha amani na utulivu nchini, huku akisisitiza umuhimu wa usafi wa mazingira ili wageni watakapokuja nchini waikute Tanzania ikiwa safi. LIVE MEDIA @mrliveog @samia_suluhu_hassan @deogratiusndejembi 20 Nov 2026 DIWANI KATA YA SOMANGILA JUMA ALLY LUJAH KUWA MGENI RASMI BONANZA LA WATUMISHI SOMANGILA Diwani wa Kata ya Somangila, Mhe. Juma Ally Lujah, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la Watumishi Kata kwa Kata litakalofanyika Ijumaa, Novemba 20, 2026, kuanzia saa 8:00 mchana katika Uwanja wa Manispaa ya Kigamboni. Bonanza hilo litahusisha michezo mbalimbali ikiwemo Karata, Volleyball, Netball na Football, likiwa na lengo la kuimarisha umoja, mshikamano na mahusiano baina ya watumishi. LIVE MEDIA @mrliveog @lujajuma 20 Nov 2026 RAIS SAMIA AHIMIZA AMANI, UTULIVU NA USAFI KUELEKEA AFCON 2027 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuimarisha amani, utulivu na usafi wa mazingira kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027), itakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda. Rais Samia ametoa wito huo leo, Alhamisi, Novemba 19, 2026, wakati akiwasalimia wananchi wa Jiji la Arusha, muda mfupi baada ya kuwasili mkoani humo kwa ziara ya kikazi. Amesema michuano hiyo itaiwezesha Tanzania kupokea wageni kutoka mataifa mbalimbali watakaotembelea vivutio vya utalii, ikiwemo Ngorongoro na maeneo mengine ya Arusha, hivyo amesisitiza umuhimu wa kudumisha amani, usalama na usafi wa mazingira. “Kwa sababu wageni watataka kwenda Ngorongoro na maeneo mbalimbali ya Arusha, la kwanza ndugu zangu amani na utulivu wa Arusha yetu na nchi yetu. Tukiwa salama wageni watakuja na kucheza salama,” amesema Dkt. Samia. Aidha, Rais Samia amesema AFCON 2027 ni fursa kubwa ya kiuchumi kwa Watanzania, kuanzia wafanyabiashara wadogo hadi wamiliki wa hoteli, kutokana na ongezeko la wageni litakalochochea mzunguko wa fedha na shughuli za kiuchumi nchini. LIVE MEDIA @mrliveog @samia_suluhu_hassan 19 Nov 2026 MBUNGE HARAN SANGA ATIMIZA AHADI YA UJENZI WA OFISI YA CCM TUNGI Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Haran Sanga, ametekeleza ahadi aliyotoa wakati wa ziara yake katika Kata ya Tungi ya kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata hiyo. Utekelezaji wa ahadi hiyo ni sehemu ya kuimarisha shughuli za chama na kuboresha mazingira ya utendaji kwa viongozi na wanachama wa CCM Kata ya Tungi. Hatua hiyo inaonesha utekelezaji wa ahadi alizotoa wakati wa ziara yake kwa wananchi na wanachama wa CCM, ikiwa ni sehemu ya kuendeleza shughuli za chama katika Jimbo la Kigamboni. LIVE MEDIA 19 Nov 2026 🚨 CAF YAZINDUA NEMBO RASMI YA AFCON 2027 Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limezindua nembo rasmi ya AFCON 2027, itakayofanyika kwa ushirikiano wa Kenya, Tanzania na Uganda kwa jina la AFCON PAMOJA 2027. Nembo hiyo imechochewa na ngao za jadi za Afrika Mashariki, ikiwakilisha urithi, utamaduni, umoja na nguvu za Afrika. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Juni 19, 2027, ikiwa ni historia mpya kwa Afrika Mashariki kuandaa mashindano hayo kwa ushirikiano wa mataifa matatu. #LiveMedia #AFCON2027 #AFCONPAMOJA @mrliveog @afcon2027_ 19 Nov 2026 RAIS SAMIA: TUSHIRIKIANE KUKUZA VIWANDA TUSISHINDANE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezitaka nchi za Afrika Mashariki kushirikiana kukuza sekta ya viwanda badala ya kushindana, ili kujenga minyororo ya thamani ya kikanda na kuongeza ushindani katika masoko ya kimataifa. Rais Samia ametoa wito huo Novemba 19, 2026, nchini Uganda, wakati akihutubia hafla ya uzinduzi wa kiwanda cha kuunganisha magari cha Double Q Motors. Amesema uwekezaji wa viwanda katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unapaswa kukamilishana ili kuongeza ajira, kuhamisha teknolojia na kuimarisha uchumi wa kikanda. Amesisitiza kuwa nchi za Afrika Mashariki zinapaswa kuwa na dhamira ya kutengeneza, kuunganisha na kuzalisha bidhaa badala ya kutegemea bidhaa zinazoagizwa kutoka nje. Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na kanuni zinazofanana katika shughuli za kuunganisha na kutengeneza magari katika nchi za Afrika Mashariki, akielezea kuwa hatua hiyo itarahisisha uwekezaji na kuchochea maendeleo ya viwanda pamoja na sekta nyingine za uchumi. @mrliveog @samia_suluhu_hassan 19 Nov 2026

Follower tracking

We have started recording @mrliveog, but only 1 observation so far — not enough to show a trend yet. Track it daily →

Download @mrliveog's data

Everything below is derived from this account, priced on the counts shown. Delivered as CSV by emailed link.

Every post & reel

444 posts & reels

$9.99

minimum

Caption, likes, comments, views, duration, mentions, co-authors and sponsored status for every post and reel.

See a sample
shortcodecaptionlikescomments
DgE8z66jQRL🔴 LIVE MEDIA | HABARI ZA UHAKIKA NAIBU MEYA KIG…
DgE6FCZt4Pk💧 MAFANIKIO YA UJENZI WAKO YANAANZIA BACHO PLUMB…
Df_3WkwN1bEKAMATI YA SIASA CCM KIGAMBONI YAKAGUA MIRADI, MW…

Real rows from this account. The file continues in the same shape.

Everyone who follows them

up to 1,577 followers

$9.99

minimum

Handle, full name, ID, and verified/private flags for each follower.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

Everyone they follow

up to 967 accounts

$9.99

minimum

Every account this one follows, same fields.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

Counts are the maximum available today. If an export comes back smaller, we review it and contact you about the difference. Counts as last collected 5 days, 7 hours ago.

Tracking

A monthly plan, not a download: we keep reading @mrliveog and email you what changed.

Track @mrliveog every day · up to 5 accounts

We read @mrliveog daily from today and email you the week's follower, following and post changes, with every reading so far as a CSV. Add up to 4 more accounts on the same plan. Cancel any time.

See the columns
read_atfollowersfollowingpostsfollowers_change

These are the columns of the file. It gets one row per account for every day we read it, from the day you start.

$14.99/month