B

Dkt. Doto Biteko

Threads
@biteko

180.0K

Followers

482

Following

96

Posts

N/A

Reels

10

Highlights

7/5

Photos/Videos in last 12

Bio

Member of the Parliament Bukombe Geita constituency #KusemaNaKutenda

Links

No public links.

-

Avg likes

-

Avg comments

-

Engagement

0.1/wk

Posting

Likes and comments are still being collected for this account. Check back shortly.

Recent posts

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa maneno ya busara, ama kweli hakuna taifa lililoendelea bila mchango wa mwalimu _Walimu wetu, Fahari yetu_ #Bukombe #kusemanakutenda #SikuyaMwalimuDuniani #sikuyamwalimubukombe2025 03 Oct 2025 SIKU YA MWALIMU DUNIANI 2025 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema Mwalimu ndiye anayetoa mwelekeo wa maisha ya kila mtu na ukiona jamii yoyote yenye ustaarabu na kustaarabika huhitaji kupiga ramli kujua nani chanzo chake bali mwalimu ndio sababu yake. 03 Oct 2025 Mgombea Ubunge jimbo la Bukombe ameifananisha taaluma ya Ualimu sawasawa na uumbaji kwani ndiyo taaluma inayotengeneza baba au mama bora, raia bora, wafanyakazi bora na hata watumishi bora. “Hii ni taaluma ambayo tunaamini kuwa ni uumbaji wa pili baada ya mwanadamu kuzaliwa na wazazi wake kazi ya pili ya kumuumba mwanadamu huendelea hapa duniani na hufanywa na mwanadamu” ameeleza Dkt. Biteko kwenye maadhimisho ya siku ya waalimu leo Bukombe. #CloudsDigitalUpdates 03 Oct 2025 TUFANYE TOBA YA KWELI KUPATA AMANI - DKT. BITEKO Baada ya Hekaheka za wiki nzima, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko amewasihi watanzania kufanya toba ya kweli kupata amani Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati alipoungana na Wana Bukombe pamoja na wakazi wa maeneo jirani kumuabudu Mwenyezi Mungu kupitia Mkesha wa “Ibada Halisi Bukombe Night of Worship” uliofanyika Septemba 20, 2025 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Igulwa, Bukombe. “Uzima tulionao leo ni Wimbo mpya kinywani mwetu, Afya tulionayo ni Wimbo mpya kinywani mwetu, Hata Bukombe vile tulivyo ni wimbo mpya kinywani mwetu”. Ibada hiyo iliyoandaliwa kwa pamoja na Ibada Halisi Team na kanisa AICT Ushirombo imehudhuriwa na waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili akiwemo Ambwene Mwasongwe, Rehema Simfukwe, Jonathan Kartagata, Joshua Lugendo na Agape Gospel Band. Mwisho. 21 Sep 2025 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ameeleza sababu mbili kubwa zilizofanya Tanzania kuchaguliwa na taasisi za kimataifa ikiwemo Benki ya dunia (WB) kuwa mwenyeji wa mkutano wa nishati wa Wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika nchini Januari 27 na 28, 2025. Akizungumza baada ya wabunge kupitisha Azimio Maalumu la kumpongeza Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyeji na kufanikisha mkutano huo, Dkt. Biteko amesema sababu ya kwanza ni kuimarika kwa diplomasia yetu na mataifa mengine na kwamba hilo amelifanikisha yeye mwenyewe Rais. Sababu ya pili amesema kuwa ni mpango madhubuti wa nchi yetu katika kupeleka umeme katika kila sehemu ya nchi yetu. Aidha, Dkt. Biteko ametaja ongezeko la wadau ambao wako tayari kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa umeme Afrika na kupelekea Benki ya Dunia kutoa ahadi ya dola za kimarekani bilioni 22, Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) dola bilioni 18.2, Benki ya Maendeleo ya Kiislamu dola bilioni 2.7, Benki ya Maendeleo ya Asia dola bilioni 1.5, Benki ya Maendeleo ya Ufaransa dola bilioni 1 na wafadhili wengine lukuki. 31 Jan 2025 Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko @biteko 30 Dec 2024 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (wa pili kushoto) akifurahia jambo mara baada ya kuzindua Tovuti rasmi ya Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nane Nane 2024 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD 2024). 06 Jul 2024 #NIMEHESABIWA Tayari Nimetimiza Wajibu Wangu Wa Kuhesabiwa na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Magera Kilosa Hapa nyumbani Kata ya Bulangwa Wilaya ya Bukombe, Mkoani Geita leo tarehe 23 Agosti 2022 23 Aug 2022 #Repost @channeltentanzania with @make_repost ・・・ "Nitamtukuza Mungu siku malengo ya Mhe Rais @samia_suluhu_hassan katika Sekta ya Madini yakitimia kwa asilimia mia." Waziri Dkt @biteko #kilichoborakabisa 26 Apr 2022 #Repost @channeltentanzania with @make_repost ・・・ "Bado nalifanyia kazi swala la kuanzisha benki maalumu ya madini" Dkt. Philip Mpango Makamu wa Rais jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 24 Feb 2022 "Hawa ndio wanastahili Pongezi (wachimbaji,waongeza thamani na wafanyabiashara wa madini) wamekubali na kuielewa sauti ya Mheshimiwa Rais wetu." Mhe. Waziri wa Madini Doto Biteko #MadiniYetu #UchumiWetu 23 Feb 2022 Happy Birthday Mama Samia #CHIEFHANGAYA Mhe. Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania 🇹🇿 Nakutakia Heri na Baraka Katika Siku Hii Muhimu Ya Kuzaliwa Na Mungu Akujalie Afya Njema. 27 Jan 2022

Follower tracking

We have started recording @biteko, but only 1 observation so far — not enough to show a trend yet. Track it daily →

Download @biteko's data

Everything below is derived from this account, priced on the counts shown. Delivered as CSV by emailed link.

Every post & reel

96 posts & reels

$9.99

minimum

Caption, likes, comments, views, duration, mentions, co-authors and sponsored status for every post and reel.

See a sample
shortcodecaptionlikescomments
DPYLSlggsqVMhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Ja…
DPYFwtmDLA4SIKU YA MWALIMU DUNIANI 2025 Naibu Waziri Mkuu …
DPWQLcLjWFlMgombea Ubunge jimbo la Bukombe ameifananisha ta…

Real rows from this account. The file continues in the same shape.

Everyone who follows them

up to 50,000 followers of 179,987 total

$250.00

Handle, full name, ID, and verified/private flags for each follower.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

Everyone they follow

up to 482 accounts

$9.99

minimum

Every account this one follows, same fields.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

You only pay for rows we deliver. Counts are the maximum available today; if an export comes back smaller, the difference is refunded automatically. Counts as last collected 5 days, 22 hours ago.

Tracking

A monthly plan, not a download: we keep reading @biteko and email you what changed.

Track @biteko every day · up to 5 accounts

We read @biteko daily from today and email you the week's follower, following and post changes, with every reading so far as a CSV. Add up to 4 more accounts on the same plan. Cancel any time.

See the columns
read_atfollowersfollowingpostsfollowers_change

These are the columns of the file. It gets one row per account for every day we read it, from the day you start.

$14.99/month