Women Aid and Criminal Justice

Women Aid and Criminal Justice

@wacj_tz

1,441

Followers

231

Following

296

Posts

N/A

Reels

6

Highlights

11/1

Photos/Videos in last 12

Bio

⚖ Organization that deals with legal aid and criminal justice for women, girls and Children in Tanzania . 📧 ••• Website: www.wacj.or.tz

-

Avg likes

-

Avg comments

-

Engagement

0.5/wk

Posting

Likes and comments are still being collected for this account. Check back shortly.

Recent posts

Wiki hii tulipata fursa ya kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa watoto katika Shule ya Msingi Bunju A iliyopo Wilaya ya Kinondoni-Dar es salaam. Lengo la elimu hiyo ni kuwajengea uelewa kuhusu ukatili, namna ya kuutambua, jinsi ya kuuzuia na mahali pa kupata msaada wa kisheria. #wacj #ukatiliwakijinsia #gbv #children 30 Oct 2026 KUMBUKIZI YA KIFO CHA MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichotokea Octoba 14, 1999. Daima tutakukumbuka baba wa Taifa. #nyerereday #peace #tanzania #14 #october 14 Oct 2026 Every life has a story and every story deserves to be heard. This World Day Against the Death Penalty, let us reflect on justice, human dignity and the value of every human life Stories for Life. #worlddayagainstdeathpenalty #storiesforlife❤️ #wacj #humanrights @worldcoalition @euintanzania @afd_france @franceintanzania @canadadev 10 Oct 2026 On 10 October, the world will mark the World Day Against the Death Penalty under the theme ‘’ Stories for Life” This year’s theme reminds us to look beyond a death sentence and remember the human being, the family and the story behind it. As WACJ, we join the global call for reflection, dialogue and greater respect for human dignity and justice. 🗓 10 October 2026 🌍 World Day Against the Death Penalty Follow WACJ as we share more in the days leading to 10 October #storiesforlife❤️ #worlddayagainstdeathpenalty #wacj #nodeathpenalty @worldcoalition @franceintanzania @euintanzania @canadadev 08 Oct 2026 WACJ was pleased to join TANLAP in welcoming Ms. Febronia Patrick Kunguru from Katavi Region through the Girls Take Over Initiative, implemented by Plan International. Represented by our Executive Director, Ms. Elizabeth Majagi, WACJ participated in the session to share experiences, learn from one another and explore opportunities for collaboration in advancing women and girls leadership, advocacy and access to justice. We appreciate TANLAP and Plant International for creating meaningful spaces that empower girls to lead, learn and realize their full potential. #wacj #girlstakeover #womenleadership #collaboration #accesstojustice @tanlaptz 07 Oct 2026 Ukatili wa kijinsia kwa vijana na watoto bado ni changamoto kubwa, sababu moja wapo imekuwa ikitajwa ni uelewa mdogo wa haki za mtoto na usawa wa kijinsia. Kupitia muunganiko wa mashirika unaojulikana kama Brave Movement Tanzania, wiki hii tulipata wasaa wa kukutana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Barafu na Shule ya Sekondari Mburahati na kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa vijana, mabinti na watoto waliopo katika shule hizo. “Komesha Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Watoto, Okoa Mustakabali wa Mtoto” #mtoto #gbv #child #violenceagainstchildren 24 Jul 2026 MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA 2026 16 Jun 2026 #eid #eidmubarak❤️ 27 May 2026 Migogoro ya kisheria kati ya Mkopaji na Mkopeshaji inakuwa kwa kiasi kikubwa sana na sababu/chanzo kimoja wapo kimekuwa kikitajwa ni uelewa mdogo wa kisheria hususani kwa Mkopaji. Jana tulikuwa Mubashara kupitia kipindi cha Meza ya Busara kinachorushwa na Wapo fm @wapo_media tukijadili masuala ya mali za rehani, taratibu za kuuza mali ya rehani, haki za wakopaji na wakopeshaji pamoja na sheria zinazolinda wakopaji dhidi ya minada isiyo halali. Katika kipindi hicho, Wakili. Elizabeth Majagi na maafisa wengine wa Sheria kutoka WACJ waliweza kuelimisha jamii ikiwa lengo ni kupunguza migogoro ya namna hiyo. Karibu WACJ kwa msaada wa kisheria #wacj #mortgage #bank #borrower #hakijinai 20 May 2026 HAPPY MAMA DAY 2026👩‍👦👩‍👧👩‍👧‍👦 The Great Unburdening #mothersday 10 May 2026 Promoting Justice Rooted in Human Dignity and Second Chances #genderanddeathpenalty #end #death #penalty @worldcoalition @euintanzania @franceintanzania 10 May 2026 Tunawatakia Kheri ya Sikukuu ya Kimataifa ya wafanyakazi 2026 #labourday #2026 #work 01 May 2026

Follower tracking

We have started recording @wacj_tz, but only 1 observation so far — not enough to show a trend yet. Track it weekly →

Download @wacj_tz's data

Everything below is derived from this account, priced on the counts shown. Delivered as CSV by emailed link.

Every post & reel

296 posts & reels

$9.99

minimum

Caption, likes, comments, views, duration, mentions, co-authors and sponsored status for every post and reel.

See a sample
shortcodecaptionlikescomments
DfHSQrwjOt_Wiki hii tulipata fursa ya kutoa elimu ya ukatil…
Ded8WczMBkcKUMBUKIZI YA KIFO CHA MWL. JULIUS KAMBARAGE NYER…
DeURbfPM5oAEvery life has a story and every story deserves …

Real rows from this account. The file continues in the same shape.

Everyone who follows them

up to 1,441 followers

$9.99

minimum

Handle, full name, ID, and verified/private flags for each follower.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

Everyone they follow

up to 231 accounts

$9.99

minimum

Every account this one follows, same fields.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

You only pay for rows we deliver. Counts are the maximum available today; if an export comes back smaller, the difference is refunded automatically. Counts as last collected 5 hours, 5 minutes ago.

Tracking

What we have recorded about @wacj_tz over time, and ongoing alerts.

Follower count over time · 1 observation

Every observation we have recorded, with follower and post deltas between them: our own record, not a re-scrape.

See a sample
observed_atfollowersfollowers_deltaposts
2026-11-101441296

Real rows from this account. The file continues in the same shape.

$9.99

Weekly change alerts · 30 days, ~4 digests

Baseline now, then a change digest by email every week for 30 days.

$14.99