159.7K
Followers
274
Following
12.0K
Posts
N/A
Reels
10
Highlights
10/2
Photos/Videos in last 12
Bio
Welcome to Tanzania National Parks for the Best Wildlife Safari experience.The Famous Serengeti, Mt. Kilimanjaro and so much beauty that awaits.
Links
www.tanzaniaparks.go.tz-
Avg likes
-
Avg comments
-
Engagement
42.0/wk
Posting
Likes and comments are still being collected for this account. Check back shortly.
Recent posts
Standing in the path of giants with Asili Trails.
No one travels across Tanzania just to pass through the plains. You come for the thunder of dust underfoot, the quiet presence of a family moving across the horizon, and the way a private journey turns every encounter into a story that stays with you long after you leave.
With your own dedicated vehicle and the freedom to move at your own pace, it all falls into place.
Video Asili Trails Guide: @emma_nuel_tz
Plan your private safari with Asili Trails:
[email protected]
WhatsApp: +255 743 481 760
www.asilitrails.com
#AsiliTrails #TanzaniaSafari #SerengetiNationalPark #WildlifeSafari
11 Nov 2026
TANAPA YASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA UTALII WA MILIMA - CHINA
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Utalii wa Milima na Michezo uliofanyika kuanzia Novemba 8, na kutamatika leo Novemba 11, 2026 katika Jimbo la Guizhou nchini China ikiwa ni sehemu ya kutangaza vivutio vya utalii vya milima vilivyopo nchini Tanzania katika soko la kimataifa.
Katika mkutano huo, TANAPA ilipata fursa ya kueleza matarajio yake, pamoja na kujadili maeneo ya ushirikiano yatakayowezesha wadau na washiriki wengine kuungana katika kukuza na kuendeleza utalii wa milima.
Akizungumza katika mkutano huo, Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi kwa niaba ya Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA, Neema Mollel alisema ushiriki wa TANAPA kama mjumbe katika mkutano huo ni fursa muhimu ya kuitangaza Tanzania na kuiweka katika ramani ya soko la kimataifa la utalii wa milima.
Kamishna Mollel aliongeza kuwa ushiriki wa TANAPA katika mkutano huo unalenga kuvutia watalii zaidi hasa wapanda milima kutoka mataifa mbalimbali, kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya utalii na kufungua fursa za ajira kwa Watanzania.
Aidha, ushirikiano huo wa kimkakati wa utangazaji wa milima ikiwemo Mlima Kilimanjaro, Meru, Udzungwa, Mtorwi na Mahale inatarajiwa kuwa chachu ya kuvutia watalii wapenda milima, ili hazina hizo za milima ziweze kuchangia katika pato la Taifa.
Taasisi nyingine kutoka Tanzania zilizoshiriki mkutano huo ni pamoja na Makumbusho ya Taifa(NMT), Bodi ya Utalii Tanzania(TTB), Wizara ya mambo ya ndani na taasisi binafsi.
11 Nov 2026
TANAPA YAKABIDHIWA MSITU WA BURKA, KUHAKIKISHA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI KWA MANUFAA YA VIZAZI VYA SASA NA VIJAVYO
Na.Edmund Salaho - Arusha
Katika kuendeleza juhudi za kulinda mazingira na vyanzo vya maji, TANAPA imepokea ufadhili wa Msitu wa Burka uliopo Ngaramtoni ya Chini, Arusha, wenye ukubwa wa ekari 76.3.
Kupitia ufadhili huo, TANAPA iliingia mkataba na Kampuni ya Burka Coffee Estates Limited na kwa makubaliano hayo, TANAPA itakuwa na jukumu la kuulinda na kuutunza msitu huo ili uendelee kuwa msitu wa asili na eneo muhimu la kuhifadhi vyanzo vya maji.
Uhifadhi huo utahusisha kulinda miti na mimea ya asili, wanyamapori, chemchemi na vyanzo vya maji, pamoja na kuhakikisha shughuli zinazoweza kuharibu mazingira hazifanyiki.
Wakati akikabidhi Msitu huo, Alex Rechsteiner, Mkurugenzi Kampuni ya Burka Coffee Estates Limited alieleza kuwa wamefurahi kumpata mdau sahihi ambaye jukumu lake kubwa ni uhifadhi endelevu na hivyo, wanaamini kuwa TANAPA itaendelea kuutunza Msitu huo kwa ufanisi zaidi.
Aidha, alieleza kuwa kama ambavyo TANAPA iliomba awali, inaweza kutumia msitu huo kwa shughuli za utalii kwa wanyamapori ambao hawaleta usumbufu kwa jamii na wanaoendana na mazingira ya Msitu huo.
Akizungumza wakati makabidhiano hayo kwa niaba ya Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, Naibu Kamishna wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara, Izumbe Mgana Msindai, amesema kuwa TANAPA imeupokea kwa furaha Msitu huo na kuthamini dhamana hiyo ya uhifadhi, ambayo ni sehemu muhimu ya juhudi za kulinda mazingira na kuhakikisha uendelevu wa vyanzo vya maji.
Amesisitiza kuwa TANAPA itatekeleza wajibu wake kwa kuhakikisha msitu huo unalindwa, unatunzwa na kuendelezwa kwa kuzingatia misingi ya uhifadhi endelevu, ili kuendelea kuwa urithi wa mazingira kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Aidha, ametoa shukrani kwa Alex Rechsteiner, Mkurugenzi Kampuni ya Burka Coffee Estates Limited kwa makabidhiano hayo, akieleza kuwa ushirikiano kati ya Kampuni hiyo na TANAPA ni nguzo muhimu katika kufanikisha uhifadhi wa rasilimali za asili nchini.
11 Nov 2026
*TIMU YA WANAWAKE YA TANZANIA YASHIKA NAFASI YA TATU KATIKA MASHINDANO YA GOFU YA AACT BARANI AFRIKA*
Timu ya Taifa ya Golf ya Wanawake ya Tanzania imeandika matokeo ya kujivunia baada ya kutwaa nafasi ya tatu kati ya timu 21 za mataifa mbalimbali zilizoshiriki mashindano ya All Africa Challenge Trophy (AACT), yanayoshirikisha timu za Taifa za wanawake katika mchezo wa Golf barani Afrika michezo iliyofanyika nchini Nigeria.
Katika ushindi mwingine wa kihistoria, Mtanzania Neema Olomi ameibuka mshindi wa kwanza wa Nigeria Ladies Open, akifanya vizuri dhidi ya washiriki zaidi ya 152 kutoka mataifa 21 na kupeperusha bendera ya Tanzania kwa kishindo.
Mashindano hayo yalianza Novemba 03 na kuhitimishwa Novemba 10, 2026. Tanzania ilitumia jukwaa hilo kutangaza na kutambulisha kimataifa Uwanja wa Gofu wa Serengeti (Serengeti National Park Golf Course), uliopo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuitangaza Tanzania kama kivutio cha utalii wa michezo na kuongeza mwonekano wa vivutio vyake vya utalii katika soko la kimataifa.
11 Nov 2026
Just another “normal” day in the Musabi Plains… with a big herd of beautiful elephants! ☺️💚🐘
10 Nov 2026
Mkutano wa Kamishna wa
Uhifadhi - TANAPA, Massana G. Mwishawa na Wahariri
wa Vyombo vya Habari leo Novemba 10, 2026.
📍 Dar es salaam, Tanzania.
#tanapaupdates
10 Nov 2026
*TANAPA YATANGAZA VIVUTIO VYAKE KATIKA MAONESHO YA HORTILOGISTICA AFRICA 2026*
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeshiriki katika Maonesho ya Jukwaa la Kimataifa la Hotikacha (HortiLogistica Africa 2026), yanayofanyika katika Viwanja vya TGT, Arusha, kuanzia 8–10 Novemba 2026, ndani ya Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii.
Kupitia maonesho hayo, wadau mbalimbali kutoka nchi za Afrika na Asia wamepata fursa ya kufahamu vivutio vya utalii, shughuli mbalimbali za utalii pamoja na fursa za uwekezaji.
Kupata taarifa za Utalii, Pakua TANAPA Go App - Hifadhi za Taifa Kiganjani Mwako!!
#TANAPA #HortilogisticaAfrica2026 #TANAPAGoApp #TanzaniaUnforgettable #VisitTanzaniaParks
10 Nov 2026
“Mafanikio ya Uhifadhi hayawezi kupimwa kwa Maliasili tunazozihifadhi pekee bali zitapimwa pia kwa maisha ya wananchi kutokana na Uhifadhi tunaoufanya”.
Kauli hiyo imetolewa na Kamishina wa Uhifadhi TANAPA Massana Gibril Mwishawa alipokuwa na Mkutano na Wahariri na Waandishi wa Habari kuelezea mafanikio ya Shirika hilo la Uhifadhi leo Novemba 10, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
#tanapaupdates #tanzaniaparks #tumerithishwatuwarithishe
10 Nov 2026
⏱️ Saa 4:00 Asubuhi.
#tanapaupdates #tanzaniaparks #tumerithishwatuwarithishe
09 Nov 2026
The Silent Kings of the African Wilderness.
Powerful, patient, and perfectly adapted to nature’s rhythm. The vulture may not be the most celebrated bird in the wild, but it plays an important role in keeping Africa’s ecosystem healthy.
Every creature has a purpose. Every encounter tells a story. This is the beauty of Tanzania’s wild side. 🇹🇿
📩 Bookings & Inquiries:
🌐 www.kilimanjarounforgettable.com
📧 [email protected]
📱 WhatsApp: +255 742 055 365
Kilimanjaro Unforgettable Experience the Unforgettable.
#kilimanjarounforgettable #vulture #birdsofafrica #wildĺifephotography #tanzaniasafari #africanwildlife #natureloversgallery #spiritofafrica #thisistanzania #experienceafrica
09 Nov 2026
Ni kesho
#tanapaupdates #mkutanonawahariri #daressalaam🇹🇿 #tanzaniaparks
09 Nov 2026
Today marks the final day of voting for the World Travel Awards 2026!
With only a few hours left before the voting window closes, this is the moment to show your support for Tanzania and its National Parks as they compete in different categories at the World Travel Awards 2026.
Kindly cast your vote today for:
1. World's Leading Destination 2026 – *Tanzania*
2. World's Leading National Park 2026 – *Serengeti National Park*
3. World's Leading Tourist Attraction 2026 – *Mount Kilimanjaro*
4. World’s Leading Mountain Tourism Destination 2026 - *Mount Kilimanjaro*
5. World's Leading Honeymoon Destination 2026 – *Kitulo National Park*
Let’s bring the crowns home!!! 🇹🇿🏆
#VoteNow2026 #Serengeti #MtKilimanjaro #Kitulo #WorldTravelAwards #TanzaniaParks #tanzaniaunforgettable
09 Nov 2026
Follower tracking
We have started recording @tanzaniaparks, but only 1 observation so far — not enough to show a trend yet. Track it daily →
Download @tanzaniaparks's data
Everything below is derived from this account, priced on the counts shown. Delivered as CSV by emailed link.
You only pay for rows we deliver. Counts are the maximum available today; if an export comes back smaller, the difference is refunded automatically. Counts as last collected 1 day, 17 hours ago.
Tracking
A monthly plan, not a download: we keep reading @tanzaniaparks and email you what changed.
Other reports
Not downloads of this account: they take their own inputs.
Similar accounts
Accounts we track that share hashtags, mentions or bio topics with @tanzaniaparks.
@tanzania_unforgettable
132.3K followers
Also uses #asilitrails
@serelandsafaris
2,344 followers
Also uses #tanzaniasafari
@denislmollel
1,116 followers
Also uses #serengeti
@director_decha
5,749 followers
Also uses #serengetinationalpark
@ttb_infopage
52.7K followers
Also uses #visittanzaniaparks
@tanzaniaspecialist
79.5K followers
Also uses #tanzaniasafari
@alexwalkerserian
30.3K followers
Also uses #africanwildlife