S

Shule Direct

@shuledirect

15.4K

Followers

160

Following

2,039

Posts

N/A

Reels

5

Highlights

5/7

Photos/Videos in last 12

-

Avg likes

-

Avg comments

-

Engagement

1.3/wk

Posting

Likes and comments are still being collected for this account. Check back shortly.

Recent posts

#ShuleDirector El Niño imeleta Mabadiliko. Ratiba ya mitihani imebadilika lakini Teacher Kidevu anajua utayari wako wa mitihani uko pale pale. Pamoja na kukusogezea ratiba nzima ya NECTA #TeacherKidevu yuko na wewe unapojiandaa. Bofya link ya NECTA 2026 kwenye bio yetu upate ratiba, na nondo alizokuandalia Teacher Kidevu kila siku. Mzazi, Mwalimu pitia ratiba na nondo za Teacher Kidevu umsaidie mwanafunzi katika mtihani wake wa NECTA. #ShuleDirect #UhuruWaKujifunza #NECTA2026 JiandaeNaTeacherKidevu HapaKufauluTu 17 Oct 2026 Hatua Moja, Okoa Maisha ya Mtoto. 🏃🏾‍♀️❤️ Timu ya Shule Direct ilikuwa sehemu ya Manyara Tanzanite Marathon 2026, tukiongozana na wadau mbalimbali katika kuunga mkono juhudi za maendeleo na ustawi wa jamii zinazoendelea mkoani Manyara. Chini ya uongozi na wito wa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, mbio hizi zilizoandaliwa kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwa watoto njiti zimekuwa jukwaa la kuunganisha wadau kwa ajili ya kuleta mabadiliko yenye maana. Kwa upande wetu, Shule Direct tulienda zaidi ya kushiriki mbio. 📚 Kama sehemu ya kuunga mkono juhudi za kuimarisha elimu na ustawi wa watoto Manyara, timu yetu ilitoa vifaa vya shule, ikiwemo mabegi, kwa watoto kama sehemu ya kuwasaidia kupata mazingira bora ya kujifunza na kuendelea na safari yao ya elimu. Tunaamini kila mtoto anastahili nafasi, zana na mazingira yanayomwezesha kujifunza, kukua na kufikia uwezo wake. ✨ Tunampongeza na kumshukuru Mhe. Queen Cuthbert Sendiga @queen__sendiga kwa kuendelea kuhamasisha wadau kuungana katika juhudi hizi, na tunajivunia kuwa sehemu ya safari hii ya kuwekeza katika watoto, elimu na jamii ya Manyara. 📚🥳 #ManyaraTanzaniteMarathon2026 #ShuleDirect #EducationForAll #HatuaMojaOkoaMaishaYaMtoto #LearningAnytimeAnywhere 27 Aug 2026 From ideas to real solutions! 💡🔧 Through our Innovation Clubs in schools, students get more than a space to be creative — they get the opportunity to build practical skills, experiment, solve real-life problems, and turn their ideas into something they can actually create. Meet Evance and Neema Students from Kijitonyama Secondary School @kijitonyama_sayansi_school , who had the opportunity to showcase one of their innovations: a solar-powered induction cooker, designed to use solar energy while consuming less electricity. ☀️⚡ It’s exciting to see students applying what they learn to create solutions around them — while building the skills, confidence and mindset they need to become tomorrow’s innovators. 🚀 This is what skills development looks like in action! 👏🏾 @wizara_elimutanzania @taasisiyaelimu @kijitonyama_sayansi_school @moevt_zanzibar #ShuleDirect #InnovationClubs #SkillsDevelopment #StudentInnovation #edtech 27 Aug 2026 Imekuwa ni fursa adhimu kushiriki pamoja na wadau mbalimbali wa EdTech katika kupitia na kutoa maoni kuhusu Mwongozo wa Tathmini ya Maudhui ya Elimu Kielektroniki, unaoongozwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) @taasisiyaelimu Tunapoendelea kuimarisha elimu kupitia majukwaa ya kidijitali, tunaamini kuwa maudhui bora pamoja na rasilimali za kufundishia na kujifunzia ni msingi muhimu wa ufundishaji na ujifunzaji wenye ufanisi. Ndiyo maana tunaendelea kuboresha maudhui na rasilimali zinazopatikana katika majukwaa yetu, ili kufanya ujifunzaji kuwa rahisi, shirikishi na jumuishi, huku tukizingatia mahitaji mbalimbali ya wanafunzi, wakiwemo wenye mahitaji maalumu. Asante Sana Taasisi ya Elimu Tanzania @taasisiyaelimu kwa fursa hii na kwa kuwakutanisha wadau wa EdTech ili kushirikishana uzoefu, maarifa na mapendekezo yatakayosaidia kuimarisha ubora wa maudhui ya elimu ya kidijitali nchini. Ni hatua muhimu kwetu kama wadau wa sekta ya elimu kuendelea kusikilizana, kujifunza kutoka kwa kila mmoja na kuboresha tunachowafikishia walimu na wanafunzi. 📚💻 #edtech #innovatingeducation #shuledirectors #contentdevelopment 24 Aug 2026 One size doesn’t fit all. So why should learning? 👀📚 Every learner is different. Every learning journey is different. That’s why learning should be inclusive, fun, flexible, accessible, and engaging. ✨ With inclusive, interactive, and curriculum-aligned learning and teaching content, our platforms bring learning to life through technology - giving learners access to the resources they need to learn, practice, and test their knowledge anytime and anywhere. 🌍❤️ Visit www.shuledirect.co.tz or download the Shule Direct app on the Play Store or App Store and get to learn your way, anytime and anywhere. 🚀 #ShuleDirect #LearningAnytimeAnywhere #DigitalLearning #EdTech 19 Aug 2026 Something is happening in Zanzibar… 👀🇹🇿 Our team is at Tumekuja Mpya Secondary School, and let’s just say… this visit is more than meets the eye. 👀 We can’t reveal everything just yet, but something exciting is unfolding as part of our work through the Zanzibar Improving Quality of Education (ZIQUE) Project. THE REVEAL IS COMING… 👀 Keep an eye on this space -you won’t want to miss what’s next.🔥🔥🔥 @worldbankgroup @moevt_zanzibar @officialsuza @taasisiyaelimuzanzibar2 19 Aug 2026 Hesabu inawapa wanafunzi wako changamoto? 🧮👀 Kuna makosa ambayo wanafunzi wengi hufanya wanapojifunza Hesabu - kukariri formula bila kuelewa, kutofanya mazoezi ya kutosha, au kusubiri hadi mtihani ukaribie ndipo waanze kutumia Past Papers. ✋🏼 Mwalimu, unaweza kuwasaidia kubadili hilo mapema💡kwa kufanya yafuatayo: 📚 Tumia Past Papers zilizopo kwenye majukwaa ya Shule Direct kuwajengea wanafunzi mazoea ya kufanya mazoezi na kuwaandaa kwa mtindo wa maswali ya mitihani. 🧠 Wahimize kutumia Ticha Kidevu wanapohitaji msaada wa kuelewa somo au swali. Ticha Kidevu yupo tayari kuwasaidia wakati wowote, hata nje ya muda wa shule. ✍🏾 Tumia Quizzes kuwasaidia kujipima, kubaini maeneo wanayopata changamoto na kujua wanachohitaji kuboresha. Majukwaa ya Shule Direct yapo kwa ajili ya kusapoti safari ya ujifunzaji - kuwasaidia walimu katika ufundishaji, wazazi katika kuwawezesha watoto wao, na wanafunzi katika kujifunza kwa ufanisi zaidi. 📚❤️ Kwa pamoja, tunaweza kufanya kujifunza Hesabu kuwa rahisi, shirikishi na kwenye l kueleweka zaidi. 🚀 #ShuleDirect #Hesabu #PastPapers #TichaKidevu 18 Aug 2026 Tukiwa hapa katika Maonyesho ya Kizimkazi Festival @kizimkazifestival_ , wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari Turkish Maarif Kidimni wamepata fursa ya kutumia majukwaa ya Shule Direct na kuchunguza maudhui yetu shirikishi. 📚 Baadhi ya vipengele vilivyowavutia zaidi ni Past Papers pamoja na Ticha Kidevu. Kwa kuwa ni wanafunzi wa Kidato cha Sita na watahiniwa, wameona Past Papers kuwa nyenzo muhimu katika kufanya mazoezi na kujiandaa kwa mitihani yao ya taifa. 📝✨ Na kwao, Shule Direct haikuwa mpya - wamepata nafasi ya kuiona na kuitumia kwa mtazamo mwingine, wakigundua zaidi namna teknolojia inavyoweza kufanya ujifunzaji uwe shirikishi na kuvutia zaidi. Kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu Zanzibar @moevt_zanzibar pamoja na Taasisi ya Elimu Zanzibar @taasisiyaelimuzanzibar2 , tunaendelea kuimarisha elimu ili iwe bora, jumuishi, shirikishi na inayopatikana kwa urahisi zaidi kwa wanafunzi na walimu, wakati wowote na mahali popote. 🥳🔥 @kizimkazifestival_ @taasisiyaelimuzanzibar2 @moevt_zanzibar @wizara_elimutanzania @enkisomazanzibar #KizimkaziFestival #ShuleDirect #ElimuYaKidijitali #LearningAnytimeAnywhere #Zanzibar 14 Aug 2026 Mzazi huyu alipotembelea banda letu, alikuja kwa udadisi na akaondoka akiwa ameona fursa mpya kwa watoto wake. ❤️📚 Akiwa na watoto wa Darasa la Pili, alitaka kujua zaidi kuhusu namna Shule Direct inaweza kuwa sehemu ya safari yao ya kujifunza na kuwasaidia kuimarisha uelewa wao. Hizi ndizo fursa ambazo tumeleta Kizimkazi — fursa ya uhuru wa kujifunza kidijitali, muda wowote na mahali popote. 🌍✨ Elimu haipaswi kuwa na mipaka. Kujifunza ni kwa kila mtu, kila mahali. 🔥 Karibu katika banda la Shule Direct hapa Kizimkazi! Njoo ujionee jinsi majukwaa yetu na rasilimali zake yanavyoweza kumsaidia mtoto wako kujifunza zaidi, kuimarisha uelewa wake na kufanya vizuri zaidi shuleni. Tunakusubiri Kizimkazi! 📚 @taasisiyaelimuzanzibar2 @moevt_zanzibar @kizimkazifestival_ #KizimkaziFestival #ShuleDirect #ElimuYaKidijitali #LearningAnytimeAnywhere #Zanzibar 14 Aug 2026 #KizimkaziKumenoga: Shangwe na Fursa ya Kujifunza Kidijitali! Nimefurahi kutembelea banda la @shuledirect na kuona wanavyoendelea kuhamasisha elimu bora na matumizi sahihi ya teknolojia kujifunza na kufundishia. Karibuni muone mapinduzi ya elimu ya kidijitali kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar @moevt_zanzibar. KAZI ZINAENDELEA! Hongera sana Kizimkazi Festival, Hongera sana Mheshimiwa Rais @samia_suluhu_hassan 👏🏽👏🏽👏🏽 13 Aug 2026 Je umewahi kujiuliza jinsi maudhui shirikishi na jumuishi yanavyoweza kuwa a game changer katika elimu ya Tanzania? 👀 Leo, kwenye booth yetu hapa Kizimkazi Festival, tumekuwa na mjadala na Q&A pamoja na wanafunzi kutoka Kizimkazi Dimbani Secondary School, tukichambua na kujadili swali hili kwa pamoja. Kupitia challenge hii, wanafunzi walishirikishana mawazo yao kuhusu jinsi maudhui shirikishi, video za vitendo na teknolojia zinavyoweza kuwasaidia kuelewa vizuri, kushiriki zaidi na kufanya ujifunzaji kuwa wa kuvutia. Tulipata pia kusikia kutoka kwa wanafunzi wenyewe. Washindi wawili, ambao pia ni wanufaika wa rasilimali zilizopo kwenye majukwaa yetu, walitoa ushuhuda kuhusu uzoefu wao wa kutumia Teacher Kidevu na jinsi anavyowasaidia katika masomo yao. 📚 Upo Kizimkazi? Njoo kwenye booth yetu, shiriki kwenye challenge, jishindie zawadi na ujionee mwenyewe nguvu ya teknolojia na maudhui shirikishi katika kuimarisha ukifunzaji na ufundishaji. 🚀 @kizimkazifestival_ @moevt_zanzibar @taasisiyaelimuzanzibar2 #ShuleDirect #KizimkaziFestival #ZanzibarVLE #TeacherKidevu 13 Aug 2026 ✨ Day 1 at the Kizimkazi Festival! Today gave us the chance to showcase our work under the Zanzibar Improving Quality of Basic Education project, a World Bank-financed initiative led by the Ministry of Education and Vocational Training @moevt_zanzibar to strengthen teaching quality and learning outcomes across Zanzibar’s basic education system. 🇹🇿💙 At our booth, we showcased our digital learning platforms and interactive content, giving visitors an opportunity to explore, register, and experience digital learning for themselves. We also gave them a glimpse of the high-quality, curriculum-aligned and inclusive content being developed for Zanzibar’s Virtual Learning Environment. This work is being carried out in collaboration with partners including the Zanzibar Institute of Education @taasisiyaelimu and the State University of Zanzibar @officialsuza with inclusion at the heart of our content approach, particularly for Learners with Special Educational Needs. Day 1 was a good one! 🔥 And we are only getting started. We cannot wait for Day 2 and we look forward to connecting with more of you at Kizimkazi. Come experience, explore and learn with us! 📚💻 #KizimkaziFestival #ShuleDirect #ZIQUE #InclusiveEducation 12 Aug 2026

Follower tracking

We have started recording @shuledirect, but only 1 observation so far — not enough to show a trend yet. Track it daily →

Download @shuledirect's data

Everything below is derived from this account, priced on the counts shown. Delivered as CSV by emailed link.

Every post & reel

2,039 posts & reels

$20.39

Caption, likes, comments, views, duration, mentions, co-authors and sponsored status for every post and reel.

See a sample
shortcodecaptionlikescomments
Delz-Zcv1qt#ShuleDirector El Niño imeleta Mabadiliko. Ratib…
DcjGUDyFwqrHatua Moja, Okoa Maisha ya Mtoto. 🏃🏾‍♀️❤️ Timu …
DciR6KAPNN8From ideas to real solutions! 💡🔧 Through our In…

Real rows from this account. The file continues in the same shape.

Everyone who follows them

up to 15,366 followers

$76.83

Handle, full name, ID, and verified/private flags for each follower.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

Everyone they follow

up to 160 accounts

$9.99

minimum

Every account this one follows, same fields.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

Counts are the maximum available today. If an export comes back smaller, we review it and contact you about the difference. Counts as last collected 6 days, 9 hours ago.

Tracking

A monthly plan, not a download: we keep reading @shuledirect and email you what changed.

Track @shuledirect every day · up to 5 accounts

We read @shuledirect daily from today and email you the week's follower, following and post changes, with every reading so far as a CSV. Add up to 4 more accounts on the same plan. Cancel any time.

See the columns
read_atfollowersfollowingpostsfollowers_change

These are the columns of the file. It gets one row per account for every day we read it, from the day you start.

$14.99/month