Dorothy Gwajima

Dorothy Gwajima

Threads
@gwajimad

487.5K

Followers

1,111

Following

9,171

Posts

N/A

Reels

N/A

Highlights

9/3

Photos/Videos in last 12

Bio

Waziri wa MJJWM. Simu yangu ••• andika ujumbe. Simu Wizara •••/ •••/•••/ •••. Watoto dharura 116

-

Avg likes

-

Avg comments

-

Engagement

84.0/wk

Posting

Likes and comments are still being collected for this account. Check back shortly.

Recent posts

Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Tanzania (NaCoNGO), kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, linawakaribisha Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Serikali, Sekta Binafsi, Taasisi za Fedha, Washirika wa Maendeleo, Wasomi, Watafiti, Vyombo vya Habari na wadau mbalimbali wa maendeleo kushiriki katika: JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI TANZANIA 2026 📅 25–28 Novemba 2026 📍 Ukumbi wa Urio Executive Dodoma Kaulimbiu: “Fikra Mpya Kuhusu Uendelevu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali: Ubunifu, Ubia na Upatikanaji wa Rasilimali Fedha Kupitia Vyanzo vya Ndani.” Mgeni Rasmi: Mh. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, @mwigulunchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Usikose kuwa sehemu ya jukwaa linalokusanya nguvu, maarifa na fursa kwa ajili ya sekta imara na endelevu ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Tanzania. Pamoja, tunajenga sekta imara na endelevu. #Angof2026 #NGOs #Maendeleoyajamii #sektabinafsi 06 Nov 2026 Msimu wa kwanza wa “Bunge Off Script Challenge” unamalizika kwa Waheshimiwa Wabunge kucheza #mvuayabaraka #bungeoffscriptchallenge 06 Nov 2026 NGOs ZATAKIWA KUWAJIBIKA MFUKO WA PAMOJA WA RUZUKU Na WMJJWM- Dar Es Salaam Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) nchini yametakiwa kuwajibika katika utekelezaji wa uanzishwaji wa Mfuko wa Pamoja wa Ruzuku kwa Mashirika hayo utakaosaidia uendeshaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Eliakim Chacha Maswi katika kikao cha Pili cha Kamati ya Kitaifa ya kuratibu mchakato wa uanzishwaji wa Mfuko wa Pamoja wa Ruzuku kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, kilichofanyika Novemba 06, 2026 jijini Dar Es Salaam. Maswi amesema Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yanapaswa kuunganisha nguvu katika kuhakikisha Mfuko huo unasimama na kuimarika zaidi, kwa kujitoa kwao katika usimamizi wake. "Lazima mjipange na muangalie namna bora ya kuendesha mfuko huu ili ulete tija zaidi na sisi kama Wizara tupo tayari kutoa ushirikiano katika kuweka Mkakati wa pamoja wa kuwa na mfuko utakaosaidia NGOs kutekeleza mipango yenu" amesema Maswi Naye Mwenyekiti Msaidizi wa Kamati hiyo na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali NaCoNGO) Jasper Makala amesema mfuko huo utasaidia kuyainua Mashirika Yasiyo ya Kiserikali hasa madogo ili yajisimamie na kutekeleza miradi mbalimbali ya kusaidia jamii katika kutatua changamoto zilizopo na kuwaletea maendeleo. Akieleza kuhusu uanzishwaji wa mfuko huo, Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na Katibu wa Kamati hiyo Vickness Mayao amesema mfuko huo umeasisiwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba mwaka 2021 wakati akizungumza katika Jukwaa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, ikilenga mfuko huo kusaidia Mashirika hayo kujitegemea katika uendeshaji wa mikakati na miradi mbalimbali ya maendeleo. Uanzishwaji wa mfuko wa pamoja wa Ruzuku kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa Kitaifa wa uendelevu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wa mwaka 2022/23-206/27. 06 Nov 2026 🇹🇿📌 06 Nov 2026 7 NOVEMBA, 2026. UELEKEO; kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Taasisi ya Zuia Rushwa VICOBA katika Ukumbi wa Bragging Goba, Ubungo, Dar es Salaam. 06 Nov 2026 #Matukiokatikapicha Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Eliakim Chacha Maswi amefungua kikao cha Pili cha Kamati ya Kitaifa ya kuratibu mchakato wa uanzishwaji wa Mfuko wa Pamoja wa Ruzuku kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO). Kikao hicho kimefanyika tarehe 06 Novemba 2026 jijini Dar Es Salaam. 06 Nov 2026 Nikipambana na tapeli kwenye sms💃😬, wanawake tunaweza 06 Nov 2026 🇹🇿📌 @basata.tanzania 👌 05 Nov 2026 JE, TUNATIMIZA WAJIBU WETU AU TUNADAI HAKI ZETU PEKEE? MWANAUME NA WAJIBU WAKE KATIKA FAMILIA NA JAMII ![Black man, girl children are happy with building blocks, games and people at home playing with toys. Education, learning and support, development and growth, dad and female kids, puzzle and childcare](https://images.openai.com/static-rsc-4/DpDKQlI1DKw0lUvkPcXqgCl31Y3itv1bsiUcg1rwjzy2p_AZyKXxR3BnZ_bSnVy-jJR094XUbD0uJakpf_XO70ZsQOMzUzUo5S4x_c-n79qGPZZ2BCYwagOixp5myu5iAasyUpek-wcIvoaWvq0ZSNyaX1zsw9iuK_URmuWCuzIzbSO9ZzeoLxbQfWMh-KoC?purpose=fullsize) ![Mature African couple using laptop and discussing](https://images.openai.com/static-rsc-4/u_XVyvCzz2sKYzz2hrJa-O2S4kbN9wDk3M3jSSmWdc1cZ-Lqf2U0gA7JSprAm8Y4wYOS_eF_O4An0SEbVbD6FLPgIlUndMJ0X5aLH-rREFLQ0TUNHujljOylPeli39CdXdh4vB3V8VshHLF6pCiz6WW9zDrJidaRMQbRGHSPHopBd8CtOInHC_FFeSfqctYq?purpose=fullsize) ![Events | WEHAT Foundation Uganda](https://images.openai.com/static-rsc-4/hjYz5lh8wSGEf3Ki9nIDRYJbH1keCsSfzMe-mRb3J6Gw6AA350o9rfM07YM3kiV75J0Swjkpej4ScgztepoY5GA6DKF1Pt3Q-qC3Vv8V5lUKmMdAw5jie5_lysNDbY-gg5LPjrOLEtVg9mzIyl4gYiRRVQqCZQeWim-ThZZlpxhaoL777NMOb95WHhqVfdiW?purpose=fullsize) Imeandaliwa kwa ajili ya kutoa elimu kwa jamii Mwandaji: Cde Jonas Yohana Mbassy Mwenyekiti wa Umoja wa Wanaume Mkoa wa Iringa. ### 1\. UTANGULIZI Mwanaume ni sehemu muhimu katika ujenzi wa familia na maendeleo ya jamii. Katika jamii nyingi, mwanaume amekuwa akihusishwa na nafasi ya uongozi, ulinzi na utoaji wa mahitaji ya familia. Hata hivyo, swali muhimu tunalopaswa kujiuliza ni hili: Je, mwanaume wa leo anatambua wajibu wake katika familia na jamii, au amejikita zaidi katika kudai haki, mamlaka na heshima bila kutimiza majukumu yake? Ni muhimu kuelewa kwamba kuwa mwanaume si suala la jinsia pekee, bali pia ni suala la uwajibikaji, maadili, utu, nidhamu na uwezo wa kutekeleza majukumu katika maisha. Familia imara haijengwi kwa mamlaka ya mtu mmoja, bali kwa ushirikiano, upendo, kuheshimiana na kutimiza wajibu. ### 2\. MAANA YA WAJIBU WA MWANAUME Wajibu wa mwanaume ni jumla ya majukumu, tabia na vitendo vinavyotarajiwa kutoka kwake katika kuhakikisha ustawi wa familia na maendeleo ya jamii. Wajibu huu hauishii katika kuta 05 Nov 2026 WAJIKI wafika Shule ya Sekondari Mivinjeni Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ikiwa ni mwendelezo wa mkakati endelevu wa shirika wa kutembelea Shule za Msingi na Sekondari kwa ajili ya kupanua wigo wa Klabu za Mashuleni na kueneza elimu ya Safari Salama Bila Rushwa ya Ngono. Katika kikao hicho viongozi wa WAJIKI na Mkuu wa Shule walijadili fursa za ushirikiano na namna ya kuwalinda wanafunzi wa sekondari dhidi ya changamoto za ukatili na rushwa ya ngono wanapokuwa safarini kuelekea shuleni au kurejea Majumbani. Mkuu wa Shule amepongeza sana ujio wa timu hiyo na kuonyesha utayari kamili wa kupokea programu hiyo ili kuwajengea wanafunzi ujasiri na uelewa wa haki zaona kuvunja ukimya dhidi rushwa ya ngono na aina zote za ukatili @womenfund_tz @maendeleoyajamii @wanawakelakimoja @wacj_tz @eldo_tanzania @who 05 Nov 2026 Kutoka sms ya mwanajamii: Zingatia baadhi yao 🙄. Haya, nyie baadhi yenu hebu msipotoshe mambo. Na nyie waumini husika hebu jiongezeni jamani. Mbinguni hatuendi na ndoa kwani kule hakuna kuoa wala kuolewa, mtu akiwa na dhambi zake ataenda nazo yeye na kuokoka hatulazimishani tafadhali. Hebu msinyimane mtupunguzie migogoro dawati na watoto mitaani. Usiku mwema. 05 Nov 2026 Maadili ni msingi wa jamii bora,tusisubiri mabadiliko bali tuwe sehemu ya mabadiliko. #maadili #poetsociety #jamii #viralreels 05 Nov 2026

Follower tracking

We have been recording @gwajimad since 6 Nov 2026 — 2 observations.

487,460 +471 (<0.1%)

since 6 Nov 2026, from 486,989

7 Nov 2026

Download @gwajimad's data

Everything below is derived from this account, priced on the counts shown. Delivered as CSV by emailed link.

Every post & reel

9,171 posts & reels

$91.71

Caption, likes, comments, views, duration, mentions, co-authors and sponsored status for every post and reel.

See a sample
shortcodecaptionlikescomments
DfbicQoMqFKBaraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikal…
DfbfciooHzqMsimu wa kwanza wa “Bunge Off Script Challenge” …
DfaGAHwCIgMNGOs ZATAKIWA KUWAJIBIKA MFUKO WA PAMOJA WA RUZU…

Real rows from this account. The file continues in the same shape.

Everyone who follows them

up to 50,000 followers of 487,460 total

$250.00

Handle, full name, ID, and verified/private flags for each follower.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

Everyone they follow

up to 1,111 accounts

$9.99

minimum

Every account this one follows, same fields.

See the columns
usernamefull_nameuser_idis_verifiedis_privateprofile_pic_url

These are the columns. We can't show live rows: Instagram serves no follower or following list to a logged-out client, so we hold none until you order.

You only pay for rows we deliver. Counts are the maximum available today; if an export comes back smaller, the difference is refunded automatically. Counts as last collected 23 hours, 57 minutes ago.

Tracking

What we have recorded about @gwajimad over time, and ongoing alerts.

Follower count over time · 2 observations

Every observation we have recorded, with follower and post deltas between them: our own record, not a re-scrape.

See a sample
observed_atfollowersfollowers_deltaposts
2026-11-064869899162
2026-11-074874604719171

Real rows from this account. The file continues in the same shape.

$9.99

Weekly change alerts · 30 days, ~4 digests

Baseline now, then a change digest by email every week for 30 days.

$14.99

Similar accounts

Accounts we track that share hashtags, mentions or bio topics with @gwajimad.